Kishore Kumar Hits

D Knob - Elimu Mitaani lyrics

Artist: D Knob

album: D Knob Singles


Tunasonga kistimu na ndoto kede (ai)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D)
Mtaani na maskani ndio ngome zenyewe
Elimu mitaani dot com mnaionaje
Eyo narudi nyumbani namkuta mama kibarazani
Huku niko bwax halafu na chupa ya krest mfukoni (huha)
Sura amekunja eti hataki skuli kwa sababu afande mkinzi ananiburuza kwenye madawati (huha)
Navaa mlege kupiga mzinga anasema umesha acha mziki ufanye maisha (huha)
Nanyonga viani kwenye wizla kisha najilipua nipate spidi ya kulalia (huha)
Sauti ya demu wangu inaingia ile kimkwara anasema kesho nikimfata nisivae lilebuti lililochanika (huha)
Anasema ananipenda kwa sababu ya miguno na sound zangu mitaa (huha)
Tatizo lake ni mama huruma anamaidi kujivinjari na bling superstar
Sasaivi adabu anayo tangu anikute na mdogo wake wa mwisho nnamrukia juu ya kitanda cha mama yao wa kwambo (huha)
Kichwa kinaniuma kuandika komesho style
Mwika Mwamba anasema kwa wapumbavu haikuwa na dili (huha)
Demo niliompa haisikilizi na kila nikimfata ananirusha miezi miwili
Miezi miwili nikijumlisha na maisha yakuungaunga (duh) ni kama reli tangu enzi za kufree style (huha)
Enzi za kutaka chansi huku producer akinizimia mike
Enzi za kubeba begi mgongoni na slang za kinyamwezi (huha) (kimamtoni)
Mfereji wa mitaani, elimu na utamaduni ni za thamani kushinda almasi (huha) (remember that)
Freestyle zangu za maskani ni heshima kwa washkaji sometimes ni misosi yangu mezani (I like dat)
Lengo langu ni kupata rihusa at least p' ziburudishe ndani ya jela (huha)
Kwani nimechoka kuwarusha wewe na waurio wako mnapominyana kwenye kona (huha)
Ndani ya studio mika anachonga eti kwa nini songi langi lina verse moja
Namjibu verse mbili au tatu zinaniyeyusha wakati raia hawayaki tape kununua (huha)
Anasema track ina marelia na hii ni kete ya mwisho ikija buma label ananitosa (anakutosa)
Nakuna kichwa nafikiria najua nikirudi uswazi kama kawaida masela watasema (watasema)
Nikitoa kali wanasema ila wakitoa wao ni kali mi huwa na sema tu (sema tu)
Hata mtaani tulipozaliwa tukiwa tunawakilisha mistari wao walisema
Ndio maana nawaaribu madada zao na kisha nnatega
Ndani ya kokwa records zinapayuka bongo fleva (huha)
Hakuna elimu duniani kubwa kuliko ya mitaani na ya thamani kuliko ya mitaani huha (warap)
(Huha) Tunasonga kistimu na ndoto kede (ai)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (huha)
Mtaani na maskani ndio ngome zenyewe
Elimu mitaani dot com mnaionaje
(Huha) Tunasonga kistimu na ndoto kede (ai)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (huha)
Mtaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
Elimu mitaani dot com mnaionaje
(Huha) Tunasonga kistimu na ndoto kede (ai)
Elimu ni biashara tutasomaje (mwambie D) (huha)
Mtaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
Elimu mitaani dot com mnaionaje
(Huha)
(Huha)
(Huha)
(Huha)
(Huha)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists