Oooouh ninakutamani sana ... Nitatangaza matendo yako dunia yote ikujue adanai ... Hakuna mungu kama wewe... Umetukuka dunia yote ... Umenitoa mbali sana... Umehifadhi roho yangu mimi... Nikusifu naimba emanueli nakuabudu... Unastahili... Nitaimba sifa zako umbali umenileta ebeneza wewe ndiye mungu