Kishore Kumar Hits

Paul Mwai - Ebenezer lyrics

Artist: Paul Mwai

album: I'm in Love


Mwoyoni mwangu Yahweh nashukuru sana,
Kwa wema wako na fadhili zako kwangu za milele,
Matendo yako maishani mwangu ya tisha Jehovah
Natamani nifananenawe masiah Siku zote usiye badilika na wakati Elohim umwema
Ebeneezer nani kama wewe nainama mbele zako ewe ni Mungu,×2
Natamani ni fanane nawe usiye badilika, uaminifu wako Adonai wa milele na milele, toka utotoni mwangu umekuwa mwema sana, umbali umenileta Yahweh hakuna mwingine kama wewe,

Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Mungu×2

Kwa nehema yako Adonai umeihifadhi roho yangu, wengi tulizaliwa nao na wengi sasa wamefariki, wengine hawakujui Yahweh, Mungu mwenye enzi na uzima, lakini kwa nehema yako Shamaah umenipa uhai ni ishi.
Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Mungu×2

Wewe uliye nena na Samueli, hutamdharau mwanadamu, usiye tazama maumbile, yake wewe Mungu wa haki, umbali umenileta Yahweh, Ebeneezer wewe ndiye Mungu, Mungu mwenye enzi na uzima, uinuliwe milele yote.
Ebeneezer nani kama Wew, na inama mbale zako wewe ni Mungu×2

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists