Kishore Kumar Hits

Paul Mwai - Jambo Moja lyrics

Artist: Paul Mwai

album: I'm in Love


Jambo moja nimetamani
Sio fedha wala dhahabu
Bali neno toka kinywa chako
Nipate uhai tena
Manamalia dunia ninayo
Sioni raha pasipo wewe
Roho yangu yakuonea kiu
Kama ya tamaa nilivyo maji
Moyo wangu wakuhitaji
Nena nami bwana
Jehova kama siku za kale
Fufua roho yangu nikuhisi
Usiyebadilika na wakati
Nakuhitaji kuliko uhai
Maana sifa kubwa, mali na fedha
Bila wewe yote ni bure
Eloi ni wewe u nguvu zangu
Pumzi uhai msaada wangu
Kama si wewe mi singeishi
Nakuhitaji kila wakati
Tembea nami eh Embenezzer
Hadi mwisho wa dahari
Nataka nikujue Embenezzer
Nikuelewe vyema Eloi
Natamani uniguse tena
Nahitaji uwepo wako
Wewe wajua siri zangu zote
Uchungu za moyo wangu wa jali
Waiiiielewa nafsi yangu vyema
Nena nami bwana

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists