Oooh woooh Mungu wangu ni mkuu Oooh woooh(Saldido) Pozeeee(Teddy B) Nyota yangu imengaa Asante Mola Mambo yamebadilika Asante Mola Sio kwa nguvu zangu mi Ni kwa nguvu zako wewe tu Ingekua ni mwanadamu Angenionea Ingekua ni mwanadamu Angenionea Ulivyo nibariki na wenzangu pia uwabariki Ulivyonionekania na wenzandu pia uwaonekanie Mungu wangu we ni mwema We ni mwena, we ni mwema Ukiahidi unatenda unatenda ulivyonitendea Mungu wangu we ni mwema We ni mwena, we ni mwema Nimeona mkono wako Maishani mwangu We ni mwena Nimetua mizigo kwako nimepumzika Nimeitua msalabani nimepumzika Kwako nimetulia mie Umenifurahisha Kuna amani sikupata kwingi ila kwako Kuna wema kuna favour Ndani yako Mungu wangu msaada wangu ni wee Mungu wangu ujasiri wangu ni wee Mungu wangu we ni mwema We ni mwena, we ni mwema Ukiahidi unatenda unatenda ulivyonitendea Mungu wangu we ni mwema We ni mwena, we ni mwema Nimeona mkono wako Maishani mwangu We ni mwena Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Sikuwahi jua kijana wa mathare wa salome Ange heshimika Mungu wangu ni fire fire Amenipa maisha bomba yani fire fire Nimetambua heri kukuamini kuliko kukuelewa Nimetambua heri kukuamini kuliko kukuelewa Niruhusu nikwite kichuna ulichuna shida zangu Niruhusu nikwite mpenzi ulinipa mapenzi Mungu wangu we ni mwema We ni mwena, we ni mwema Ukiahidi unatenda unatenda ulivyonitendea Mungu wangu we ni mwema We ni mwena, we ni mwema Nimeona mkono wako Maishani mwangu We ni mwena Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Nakumbuka mi nikiwa houseboy Ulisema tuliza my boy Ata kama hizi mashida zilini follow Back to back Mungu wangu nlikuamini Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Because Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wena yote unayotenda ni kwa wema