Naleta ujumbe wake mungu Baba aah Kwamba anajua mapito yako Amesikia maombi yako Oo ooh Nasonga mbele, mi sifi moyo yesu ananipenda hataniacha aa Nasonga mbele mi sifi moyo hakika najua atanijibu uuh Mwanadamu hubadilika Kila Mara, Ila Yesu ni Yule Yule, hataniacha Ee hatanisema ee hatabadilika eeee Hataniacha Ee hatanisema Ee hatabadilika eeee Ni wakati Wangu huu ananiinua eeee Nasonga mbele mi sifi moyo hakika najua atanijibuu. Usiku mchana hatakuacha you're not alone,. Wanaokubariki watabarikiwa ah, Umechaguliwa Leo hii kuitwa jina jipya ah barikiwa oooh Nasonga mbele, mi sifi moyo yesu ananipenda hataniacha aah Nasonga mbele mi sifi moyo hakika najua atanijibu uuh Webusiva Ziwebuchaa. Bwalelelo akuvuta mageloo asarite Echitiwaa tumutendereze lesthanyu ooh Akwagaranyoo,. Ananipenda ee Anakupenda Ee Mukama akuagala yesu akuagala