Kama tambara mbovu Lililotupwa mchangani eeh Kudharauliwa kutotambuliwa Na yeyote Ndivo nilikuwa wakati mmoja Maishani mwangu Ila Mungu mwenyewe Kaniokota na kunibadili eeh Kama tambara mbovu Lililotupwa mchangani eeh Kudharauliwa kutotambuliwa Na yeyote Ndivo nilikuwa wakati mmoja Maishani mwangu Ila Mungu mwenyewe Kaniokota na kunibadili eeh Umeniokoa kanipa amani Yahweh Ukanipa sauti nikuimbie nashukuru Umenipa kibali na kuniketisha nao wafalme Umetenda yote si kwa wema wangu Ila kupenda kwako. Umeniokoa kanipa amani nalo tumaini Ukanipa sauti nikuimbie Baba nashukuru Umenipa kibali na kuniketisha nao wafalme Umetenda yote si kwa wema wangu Ila kupenda kwako. Instruments Umeniandalia meza machoni pa watesi wangu Umenipigania kanipa ushindi Baba eeh Ningelikuwa mwenyewe singeweza jitetea Niseme nini Baba, ni kupenda kwako Wewe umeniandalia meza machoni pa watesi wangu Umenipigania kanipa ushindi Baba eeh Ningelikuwa mwenyewe singeweza jitetea Niseme nini Baba, ni kupenda kwako Ni kupenda kwako tu Ni neema yako tu Ni kupenda kwako tu Ni neema yako tu Ni kupenda kwako tu Ni neema yako tu Ni kupenda kwako tu Ni neema yako tu (Heee) Ni kupenda kwako tu (Eh Baba) Ni neema yako tu (Ni kupenda kwako baba) Ni kupenda kwako tu (Ni neema yako) Ni neema yako tu (Ni kupenda kwako Baba) Ni kupenda kwako tu (Sio kwa wema wangu) Ni neema yako tu (Baraka umenipa) Ni kupenda kwako tu (Uhai umenipa) Ni neema yako tu (Maombi yangu umejibu) Ni kupenda kwako tu (Sio kwa wema wangu Ni neema yako tu (Niseme nini mbele zako) Ni kupenda kwako tu (Bali nashukuru) Ni neema yako tu (Niseme nini mbele zako) Ni kupenda kwako tu (Bali nashukuru) Ni neema yako tu (Wewe ni mwema, wewe ni mwema) Ni kupenda kwako tu (Eh Baba) Ni neema yako tu (Ni kwa kupenda kwako) (Eh Masia) (Cheza cheza cheza chezea Yesu...) (Bina bina bina bina na Yesu...) (Chini chini chini chini...) (Juu juu juu juu...)