Kishore Kumar Hits

Gloria Muliro - Maisha( Wedding Song) lyrics

Artist: Gloria Muliro

album: Kibali


Maisha eeh. Maisha.
Maisha ya mke na mme.
Waliounganishwa kwa ndoa.
Iheshimiwe na watu wote...
Maisha eeh. Maisha.
Maisha ya mke na mme.
Waliounganishwa kwa ndoa.
Iheshimiwe na watu wote...
Kanuni. za ndoa.
Heshima, upendo, uvumilivu.
Zaidi sana mawasiliano.
Mtaishi rahani milele...
Kanuni. za ndoa.
Heshima, upendo, uvumilivu.
Zaidi sana mawasiliano.
Mtaishi rahani milele...
Mnapopata matatizo.
Msikimbilie majirani.
Mpeni Mungu shida zote.
Ana ujuzi kutatua...
Mnapopata matatizo.
Msikimbilie majirani.
Mpeni Mungu shida zote.
Ana ujuzi kutatua...
Kumbuka. kumbuka sana.
Mungu huchukizwa na talaka.
Iheshimuni ndoa yenu.
Naye Mungu atawabariki...
Kumbuka. kumbuka sana.
Mungu huchukizwa na talaka.
Iheshimuni ndoa yenu.
Naye Mungu atawabariki...
Alichounganisha Mungu baba.
Mwanadamu asitenganishe...
Alichounganisha Mungu baba.
Mwanadamu asitenganishe...
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Mwanadamu asitenganishe...
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu heshimu kazi ya Bwana.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu heshimu kazi ya Bwana.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu asitenganishe.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu asitenganishe.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu asitenganishe.
Mwanadamu asitenganishe...
Hata wazazi wasitenganishe.
Mwanadamu asitenganishe...
Mashangazi. sikieni leo.
Mwanadamu asitenganishe...
Hata mashemeji. waiheshimu ndoa.
Mwanadamu asitenganishe...
Kazi yake Mungu iheshimiwe.
Mwanadamu asitenganishe...
Iheshimuni. kazi yake Baba.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu. sikia leo.
Mwanadamu asitenganishe...
Mwanadamu asitenganishe.
Mwanadamu asitenganishe...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists