Kishore Kumar Hits

Kambua - Bado Nasimama lyrics

Artist: Kambua

album: Bado Nasimama


Bado nasimama
Bado naendelea
Bado najikaza, nifike kule
Bila nehema, na rehema zako, ningekuwa wapi mimi
Bila upendo na fadhili zako, maisha yangu, yangekuwa bure.
Kwa wema wako, kanisimamisha na Imani yangu ukaiweka salama.
Kama si wewe, mwamba wa wokovu wangu, nisingeweza, ningehangamia.
Nainua macho yangu, kwako wewe baba yangu
Msaada wangu utatoka wapi, Msaada wangu u katika bwana
Hasinzii, ananindaye, aniachi mimi niteleze
Anipa nguvu na uwezo wake, ili mimi nifike kule
Nifike kule
End.

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists