Mungu wangu nakuita, nisikie baba yangu
Niokoe nishindie, tengeneza nafsi yangu
Mungu wangu nakuita, nisikie baba yangu
Niokoe nishindie, tengeneza nafsi yangu
Bwana mimi nimekumbilia wewe, Maana nisije aibika mimi

Ninajua wanipenda na wewe huniachi na mimi nina tumaini ninaona upo nami

Uwe kwangu, Mwamba wangu nguvu zangu jabali langu
Kimbilio tumaini tegemeo msaada wangu
Uwe kwangu, Mwamba wangu nguvu zangu jabali langu
Kimbilio tumaini tegemeo msaada tumaini
Bwana mimi nimekumbilia wewe, Maana nisije aibika mimi
Bwana mimi nimekumbilia wewe, Maana nisije aibika mimi
Bwana mimi nimekumbilia wewe, Maana nisije aibika mimi
Bwana mimi nimekumbilia wewe, Maana nisije aibika mimi
Поcмотреть все песни артиста
Other albums by the artist