Amenipa imani aii ya kupunguza milima Amenipa imani aii ya kupunguza milima Milima ya dhambi pungua Milima ya shida pungua Hata ya magonjwa pungua Hata ya uoga pungua Baba ulisema bila imani mi siwezi kubamba Baba ulisema bila imani mi siwezi kubamba So nitasimama mi sitakushuku Baba ukisema mi nita do do Mi nawe pamoja kama yai na kuku Na utaning'arisha utanitoa makutu Ukasema na imani kidogo tu Mi nikuamini kidogo tu Na vitu nitaona si kidogo tu Na shetani ataona moto tu Ukasema na imani kidogo tu Mi nikuamini kidogo tu Na vitu nitaona si kidogo tu Na shetani ataona moto tu Amenipa imani aii ya kupunguza milima Amenipa imani aii ya kupunguza milima Milima ya dhambi pungua Milima ya shida pungua Hata ya magonjwa pungua Hata ya uoga pungua Mawimbi yakipiga mi nashika imani yangu Hata dhambi zikiniita mi nashika Imani yangu Hadi ya mwisho dakika mi nashika imani yangu Najua yote yatapita, mi nashika imani yangu Yesu wangu ni ngome imara Aii na unaeza cheki Inshallah Ukimwamini unang'ara Oya chenga imani yako Ukasema na imani kidogo tu Mi nikuamini kidogo tu Na vitu nitaona si kidogo tu Na shetani ataona moto tu Amenipa imani aii ya kupunguza milima Amenipa imani aii ya kupunguza milima Milima ya dhambi pungua Milima ya shida pungua Hata ya magonjwa pungua Hata ya uoga pungua Ukasema na imani kidogo tu Mi nikuamini kidogo tu Na vitu nitaona si kidogo tu Na shetani ataona moto tu Ukasema na imani kidogo tu Mi nikuamini kidogo tu Na vitu nitaona si kidogo tu Na shetani ataona moto tu Amenipa imani aii ya kupunguza milima Amenipa imani aii ya kupunguza milima Milima ya dhambi pungua Milima ya shida pungua Hata ya magonjwa pungua Hata ya uoga pungua Amenipa imani aii ya kupunguza milima Amenipa imani aii ya kupunguza milima Milima ya dhambi pungua Milima ya shida pungua Hata ya magonjwa pungua Hata ya uoga pungua