Kishore Kumar Hits

Eunice Njeri - Tambarare lyrics

Artist: Eunice Njeri

album: Tambarare

Giza mbele na mauti nyuma
Pande zote huo umeshindwa kwamba nini
Pesa hakuna mali umenyang'anywa
Wamekukimbia uliowategemea Nasikia sauti kilio cha Yesu
Njooni kwangu mlio na mizigo Nitawapumzisha
Hakuna kilio tena Nitawapumzisha wataimba haleluya
Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote
Yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh
Ntaifanya mambo yote mapya eeh Tazama natenda
Kitu kipya leo Imba kwa shangwe wewe uliye tasa
Shangilia sana wewe uliye tasa
Panua nafasi imani mwako Tandaza
Pazia hapo unapoishi Utapanuka kila upande

Wazawa wakowatamiliki mataifa
Sema Bwana
Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote

Yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh

Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote

Yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh

Unaweza Yesu wewee,
Mungu wangu unaweza
Mungu wangu wewe, Unaweza
Mungu wee Mungu unaweza
Hakuna linalikushinda unaweza
Mungu eee, unaweza
Yesu wee, Yesu wee, Unaweza
Yesu wee, Yesu wee, Unaweza
Mungu wee Mungu unaweza

Jehovah Shammah, Unaweza Jehovah Rapha,
Unaweza Jehovah Nissi Unaweza Elshaddai Unaweza

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists