Kishore Kumar Hits

Eunice Njeri - Nakuenzi lyrics

Artist: Eunice Njeri

album: Nakuenzi


Unaniwazia mema, we wanifikiria mema,
Upendo wa bure gharama ushalipa, yesu,
Niko mikononi mwako bwana,
Umenifanya mboni ya jicho lako,
Uhai wa bure, wewe umenipa, yesu umenipa mimi
Nakuenzi, eh enzi, mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
Nakuenzi, eh enzi, mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
Mimi sawa na moto ulinipenda,
Zaidi ya enzi yako ukanipenda,
Kwani siwezi kulipa ila mi nakupenda, pia yesu
Mbali na dhambi zangu umenitenga,
Zaidi ya enzi yako kuniokoa,
Nami siwezi kukulipa ila mi nakupenda,
Nakuenzi, eh enzi,
Mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
Nakuenzi, eh enzi, mungu mwenye eh eh mwenye enzi

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists