Kishore Kumar Hits

Eunice Njeri - Naruka lyrics

Artist: Eunice Njeri

album: Natamani


Eee nitamurukua yesu wangu
Yeye amenipigania baba
Haleluyah
Aliumba vyote baba
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu Ameni ameniweka huru
Mimi natetemeka napowaza upendo
Kwako ulivyo ewe Mungu wangu ee
Mimi nasifu
Ninaona mkono
Wako juu yangu
Wala sistahili mimi eee
Nimehesabiwa
Mwenye haki mimi
Kwa damu ya Yesu
Garama kubwa yeye
Mungu Mwenyewe
Kwa unyenyekevu Wote
Kashuka chini
Mimi nawe tuokoke
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu ameniweka huru
Nilikua kipofu ameniokoa
Kwa sababu gani
Nishiiiiiinde yesu
Amenitendea mema
Amenitendea mema Aaah baba
Huyu yesu ameniponya
Huyu yesu amenitendea majabu eeh
Ndio maana ninaiiimba oooh
Nitaruka rukia yesu
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu ameniweka huru
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu ameniweka huru
Sifa zakooo ee baba
Inua mikono, inua mikono, inua mikono
Mabina, Mabina, Mabina alola
Mabina, mabina, mabina alola
Mabina, Mabina, Mabina alola
Mabina, mabina, mabina alola
Haleluyah amina
Haleluyah amina
Nasherekea Jina la yesu Haleluyah
Narukaruka
Narukaruka
Nasifusifu mimi sitakoma kuimba ruka
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu ameniweka huru
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu ameniweka huru
Naruka naruka kama ndama
Narukia yesu jemedari wangu
Naimba naimba kwa furaha
Bwana Yesu ameniweka huru

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists