Kishore Kumar Hits

Mad Ice - Mapenzi Sumu lyrics

Artist: Mad Ice

album: Maisha


Usinione kimya kimya wee
Ukazan sina akili wewe
Vituko vyako dada wee
Vinanifanya nikonde miee
Simu ikipigwa unaenda pokelea bafun
Nikikuliza ni nan ata jibu cpewi
Apo ukitoka kurud usiku wa manane
Lakin leo inabid niseme ukwel
Kama ni mapenzi yamekuwa mkuki moyon
Nimevumulia sana weee
Kwakuzan utabadirika
Nilikuamin sana mama wee
Sikuzani utanitenda ivi
Kama kukupenda nilipenda kuzid kipimo
Bila kujal maneno watu wasemao
Lakin ayo yote kwako hayana uzito
Weee mapenzi sumu wee
Aya mapenzi sumu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists