Leo nika nadai kuchoma (Uko) Nikona bottie, leta tumbler (Uko) Kuna mali ka wewe ni stoner (Uko) Panda nduthi ufike teke (Uko) Uko (Nipin) Uko (Natoka) Kwani Uko (Kwa jam) Uko (Nakam) Uko (Nipin) Uko (Natoka) Manze Uko (kwa jam) Uko (Nakam) Ofisi nilihepa hapo kedu 4 Nilikua nimezuba ningebaki what for Kale kafeeling ka kuzitoka nikue sore Niko bar nakunywa shots yelling (One more) Hiyo text ya uko Hesabu ni rocket science Ukona nani, wapi, mko wangapi, kwanza Ni base inakaa aje, na nahitaji doh ngapi Nakam na kabambe ama lugha ya mababi Kuna manguna kwanza, ka hawako mi sikam Maboy wakona kakitu na mboko haram Kuna dishi ama nafika ka nimejipin Bora nilewe fiti niweze kusinn Kabaya kwenye scene Juu chini niko clean Glass tonic na gin Pigisha liver gym Handas na simsim Ndio order of the day Na kama ni kapeng mshow akam my way Leo nika nadai kuchoma (Uko) Nikona bottie leta tumbler (Uko) Kuna mali ka wewe ni stoner (Uko) Panda nduthi ufike teke (Uko) Uko (Nipin) Uko (Natoka) Uko (Kwa jam) Uko (Nakam) Uber tuko mtu saba bumper hadi zipang Kadere akizua ju vile boot inahang Na Tukiziwasha pia yeh tunaburn Afikishe raiya ka amenyanya (Kang kang) Alafu kwenye floor Kuzitoka mos mos Ofcos ni kamini croptop na lipgloss Unani cheki sir Itika itika Curfew ikikushika rombosea afisaah Nilitoka njei kuenda shop Niko vasha kidogo nikidedi Hiyo text ya uko Weh jua tu ni deadly Si ati nina teta, ntarudia kila wikendi Uzuri patipati ni za fendi Kabaya kwenye scene Juu chini nikona clean Glass tonic na gin Pigisha liver gym Handas na simsim Ndio order of the day Na kama ni kapeng mshow akam my way Leo nika nadai kuchoma (Uko) Nikona bottie, leta tumbler (Uko) Kuna mali ka wewe ni stoner (Uko) Panda nduthi ufike teke (Uko) Uko (Nipin) Uko (Natoka) Uko (Kwa jam) Uko (Nakam) Uko (Nipin) Uko (Natoka) Uko (Kwa jam) Uko (Nakam)