Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Naomba Utulivu lyrics

Artist: Reuben Kigame

album: Tulia


Naomba utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako
Nguvu zako
Bwana naomba
Naomba utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako
Kamwe mimi siwezi
Mola nipe uwezo
Bwana ni mchungaji wa maisha yangu
Sitapungukiwa na kitu
Hunilaza kwenye majani mabichi
Huniongoza kwa njia za haki
Katika bonde la mauti yeye hunami
Si ajabu yeye hunituliza
Naomba utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako
Baba naomba
Naomba utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako
Kamwe mimi siwezi
Mola nipe uwezo
Nani ani fahe ila Mokonzi
Mufaindzi wangu rafiki
Nguzo yango na ngumi yangu
Mwamba wangu aliye imara
Katika bonde la mauti yeye hunami
Si ajabu yeye hunituliza (Baba naomba)
Naomba Utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako
Bwana naomba
Naomba utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako
Naomba nguvu zako
Naomba nguvu zako
Naomba utulivu
Nikinyenyekea mbele zako
Siwezi pekee yangu
Kwa sababu mimi ni dhaifu
Naomba nguvu zako

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists