Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Tutaonana Tena lyrics

Artist: Reuben Kigame

album: Tulia


Bwana amuitapo, mpendwa katika Christo
Machozi hayaishi kutiririkaaaaaa
Hakuna maliwazo
Yakutosha roho zetu
Ila ahadi yake Bwana wetu
CHROUS
Tutaonana Tena, Tutaonana Tena
Yesu ashukapo mawinguni Kutunyakuwa aaaah
Msihuzunike, Kama wasio na tumaini
Neno latuhakikishia, tutaonana tena
Kufumba na kufumbua
Baragumu iliapo
Tutabadilishwa mili yetu
Heri walalao katika Christo Yesu
Kazi na matendo yao uwafuuaaaata

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists