Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Baba Yetu lyrics

Artist: Reuben Kigame

album: Ombi Langu


Alright
Baba yetu, tunaleta sifa zote

Baba yetu wa Mbinguni
Tunaleta sifa Kwako
Wewe hulinganishwi
Na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu
Jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori ndege wa angani
Sifa tele kwako bwana
Hoiyee! Sifa zetu
Hoiyee! Ni zako zote
Hoiyee! Usifiwe
Hoiyee! Milele Bwana

Tukiomba kwako Baba
Sikio lako li wazi kwetu
Macho yako yatuona
Sisi watoto wako
Ulimtoa Yesu
Mwana wako wa pekee
Alikufa msalabani
Sasa tuko huru
Hoiyee! Sifa zetu
Hoiyee! Ni zako zote
Hoiyee! Usifiwe
Hoiyee! Milele Bwana

Hoiyee! Sifa zetu
Hoiyee! Ni zako zote
Hoiyee! Usifiwe
Hoiyee! Milele Bwana
Hoiyee! Sifa zetu
Hoiyee! Ni zako zote
Hoiyee! Usifiwe
Hoiyee! Milele Bwana
Hoiyee! Sifa zetu
Hoiyee! Ni zako zote
Hoiyee! Usifiwe
Hoiyee! Milele Bwana
Hoiyee! Sifa zetu
Hoiyee! Ni zako zote
Hoiyee! Usifiwe
Hoiyee! Milele Bwana (Hallelujah)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists