Nitaimba sifa zako Kwa kinywa changu Kwa sababu wema wako umenijaza Mwili wangu roho yangu takutukuza Njooni nyote na muonje Wema wake Mungu Leo ndiyo siku Bwana amefanya Sote tufurahi tumshangilie Tumtukuzeni Tumshangilie Tumuinue Anastahili Tumtangazeni Tumsujudu Tumchezee Yeye ni Bwana Nitachukua chombo change Nimchezee Bwana Kwa kinubi na matari nitamtukuza Mataifa njooni nyote Sasa tumpe shangwe Nchi bahari viumbe vyote Sifuni Bwana