Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Ombi Langu lyrics

Artist: Reuben Kigame

album: Ombi Langu

Oh papa nivema kuwa mbele zako baba
Roho yangu ina tamani
Ni kufaamu, ni kuabudu, ni kuishiye ziku zote
Ile baba ni ombi langu
Kama Ayala anatamani
Maji huko jangwani
Roho yangu inatamani
Uso wa baba yangu
Natamani nifike sasa
Niabudu mbele zako
Natamani kukuishia
Hili ni ombi langu
Oh papa
Nitainua macho yangu
Nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi
Kweli ni kwako Bwana
Wewe ni Mungu wangu
Wewe ni mwamba wangu
Wewe mpenzi wangu
Wewe mwokozi wangu

Oh baba safari iko ndefu
Ni nge penda ku fika kwako
Nisi baki nime tumika tu
Ili ni ombi langu baba
Siku nyingi nimetumika
Kwa Kazi yako bwana
Lakini sitaki bwana
Nikose kuona wewe
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Hili ni ombi langu
Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu

Huko kunayo raha ya ajabu
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Huko kuna uzima sawasawa
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Natamani kumwona bwana Yesu mokonzi wangu

Natamani kumwona bwana Yesu kipenzi changu

Yeye ukimwona anang'ara
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Yeye ukimfaamu ni uzima tele tele
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Ili ni ombi langu la milele
Ili ni ombi langu, ni ombi langu
Ni ombi langu, ni ombi langu
Ni ombi langu, ni ombi langu

Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
Natamani kuingia mbinguni mbele zake Baba yangu
Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu
Huko kunayo raha ya ajabu
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Huko kuna uzima teletele
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Natamani kumwona bwana Yesu mokonzi wangu
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Natamani kumwona bwana Yesu kipenzi changu
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Yeye ukimwona ana meremeta
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Yeye ukimfaamu ni uzima teletele
Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu
Ili ni ombi langu la milele
Ili ni ombi langu, ni ombi langu
Ni ombi langu, ni ombi langu
Ni ombi langu, ni ombi langu
Ni ombi langu, ni ombi langu
Ni ombi langu, ni ombi langu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists