Heri masikini wa roho Ufalme wa mbinguni ni wao Heri wenye huzuni Maana watafarijika Heri wenye upole Hao watairithi nchi Heri wenye njaa na kiu ya haki Maana hao watashibishwa Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Nisaidie kuyafuata haya yote Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Naomba moyo safi siku zote Heri wenye rehema Hao watapata rehema Heri wenye moyo safi Hao watamuona Mungu Heri wapatanishi Wataitwa wana wa Mungu Heri wenye kuudhiwa kwa haki Ufalme wa mbingu ni wao Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Nisaidie kuyafuata haya yote Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Naomba moyo safi siku zote ♪ Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Nisaidie kuyafuata haya yote Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Naomba moyo safi siku zote Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Nisaidie kuyafuata haya yote Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana) Naomba moyo safi siku zote