Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu, Mungu Baba Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu Jina lako litukuzwe Duniani kama mbinguni Ufalme wako uje na Utakalo lifanyike Tupe leo riziki yetu Tusamehe makosa yetu Vile twasamehe walio tukosea Usitutie majaribuni, Baba Tuokoe kwake mwovu Shetani, Mungu Baba Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu Mbingu zahuduni neno lako baba Nchi yote ya shangilia Tunauona mkono wako katika maumbile yako yote Nasi ni kitu gani, hata unatujali? Asante Bwana Kwa neno lako mbingu laumbika Ewe, kwa neno lako nchi yashangilia Uwepo wako uko kati ya nchi na mbingu Twakusifu kwa mambo haya, oh Ndege angani wanakusifu, oh Wanyamapori wakutegemea, asante Baba Viumbe vyote vyashangilia, Baba Nchi yote yashangilia Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu Mungu Baba we Twakupenda Twakushukuru Baba Twakuabudu