Zaburi mia moja thelathini na sita Tumshukuru bwana na tuimbe pamoja Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Mungu wa miungu Fadhili zake ni za milele Mshukuruni Bwana wa mabwana Fadhili zake ni za milele Amefanya maajabu Fadhili zake ni za milele Yeye alifanya mbingu na nchi Fadhili zake ni za milele (sema kabisa) Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Amefanya mianga mikubwa Fadhili zake ni za milele Jua litawale mchana Fadhili zake ni za milele Mwezi na nyota usiku Fadhili zake ni za milele Akatandaza nchi juu ya maji Fadhili zake ni za milele (imba kabisa) Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Aliyeigawa Bahari ya Shamu Fadhili zake ni za milele Akavusha Waisiraeli Fadhili zake ni za milele Aliyemshinda Farao Fadhili zake ni za milele Na majeshi yake yote Fadhili zake ni za milele (sema kabisa) Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele (Ihaji chuna hio guitar) ♪ Ni vema kuhesabu baraka ambazo bwana amekatuletea Yeye ni mwema kwetu, sema kabisa! ♪ Kama humchezei Bwana, utatwambia unamchezea nani ♪ Yeye aliyetukumbuka Fadhili zake ni za milele Katika unyonge wetu Fadhili zake ni za milele Atuokoaye na watesi Fadhili zake ni za milele Mungu kweli ni wa ajabu Fadhili zake ni za milele (imba kabisa) Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele (one more time) Mshukuruni Bwana Kwa kuwa ni mwema Kwa maana fadhili zake Ni za milele