Moyo wangu msifu Bwana Na vyote vilivyo ndani yangu Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana Moyo wangu msifu Bwana Na vyote vilivyo ndani yangu Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana Sisahau faida zake Asamehe dhambi zako Ayaponya magonjwa yako Akukomboa kwa hatari zote we Moyo wangu msifu Bwana Na vyote vilivyo ndani yangu Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana Ni wa rehema na neema Hakasiriki haraka Bwana Mashariki ilivyo mbali na magharibi Dhambi zetu ameziondoa Moyo wangu msifu Bwana Na vyote vilivyo ndani yangu Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana ♪ Moyo wangu msifu Bwana Na vyote vilivyo ndani yangu Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana Moyo wangu msifu Bwana Na vyote vilivyo ndani yangu Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana Lisifu jina Lake Moyo wangu msifu Bwana (sifu jina Lake) Moyo wangu msifu Moyo wangu msifu Moyo wangu msifu Bwana