Kishore Kumar Hits

Alice Kimanzi - Yuko Mungu lyrics

Artist: Alice Kimanzi

album: Yuko Mungu


Mungu anaweza kufanya njia njagwani
Na mito ya maji nyikani
Kama alifanya masika na kiangazi
Anaweza kubadii
Majira pia na nyakati
Giza
Totoro yanizingira
Miale haijanifikia
Ilhali kumekucha, pambazuka
Imani,
Yashuka yadidimia
Amani nayo yafifia
Eloi lama sabachthani
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini Yeye,
Mwamini Yeye
Hutoaibika
Giza likiwa ni zito
Bwana atawasha taa
Sababu Yeye ni Mungu
Mwenye amandla
Atarejesha amani,
Atarejesha furaha
Ulivyo vipoteza kwa muda mrefu atarejesha mara
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini Yeye,
Mwamini Yeye
Hutoaibika
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini Yeye,
Mwamini Yeye
Hutoaibika aaaah
Pale ninaposhindwa
Nani wakuni wezesha
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)
Na nikiwa vitani
Nani wakunishindia
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)
Napokuwa mdhaifu,
Nani wakunipa nguvu
(Mungu Pekee,
Ndiye awezaye)
Ninapotia shaka,
Nani wakuniongoza
(Mungu Pekee, ndiye awezaye)
Yoko Mungu, Yuko Mungu
Yuko Mungu ohhh
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini Yeye,
Mwamini Yeye
Hutoaibika
Yuko Mungu anayeweza
Yuko Mungu anayetenda
Mwamini Yeye
Mwamini yeye
Hutoaibika

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists