Kishore Kumar Hits

Alice Kimanzi - Waambie lyrics

Artist: Alice Kimanzi

album: Yahweh


Waambie mbie
Usingizi kanitoroka, Moyoni nimekesha ngoma
Kwa subira nimengoja, penzi hili la thamana
Tangu tulipokutana, nafsi zetu kapatana
Na ni mbali tumetoka tangu kuchumbiana
Siku yetu imefika hakuna atayezuia
Ajaliye Maulana, pete tutavishana
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa mapenzi shanienzi
Waambi mbie
Milele nishazama
Sinitafute kule kwa mabinti nishahama
Angalia ishara
Tazama ishara
Mi nishahama
Angalia ishara
Tazama ishara
Mi nishazama

Kuna wale wanasema ndoa haidumu tena
Yaje maji na mafuriko tayari tushatiya nanga
Nimepata yule wangu kampenda na vyote vyangu
Sitaja sahau amenivisha dhahabu
Nimepata yule wangu kampenda na vyote vyangu
Simulie walimwengu nishampaa moyo wangu
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa mapenzi shanienzi
Waambie mbie
Milele nishazama
Sinitafute kule kwa mabinti nishahama
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishahama
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishazama
Ee Mola tusaidie kwa wema wako
Tuwe na ndoa yenye furaha
Milele hadi milele
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa Mapenzi shanienzi
Waambie mbie
Milele nishazama
Sinitafute kule
Kwa mabinti nishama

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists