Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza - Asante Yesu lyrics

Artist: Angela Chibalonza

album: Nimekutana Na Yesu


ONE
Mtu mmoja kaniambia angela
Kwanini unamwabudu yesu
Hujui kwamba yesu ni muzunu
Nikamwambia sikiza nikueleze
Hayo yote sitaki kujua
Ninachojua ameniokoa
Ninachojua amenisamehe
Nilikuwa mfungwa kaniweka huru
Ndio maana ninamuinua
Oh ndio maana ninamwabudu
Ndio maana ninamtukuza
Ahsante yesu (asante)
Ahsante yesu (asante)
Ahsante yesu (baba yangu)
Ahsante yesu (ahsante)
Ahsante yesu (yesu)
Ahsante yesu (tunashukuru)
Ahsante yesu (kwa wokovu baba)
Ahsante yesu (asante)
TWO
Kwa wajane amekuwa mume
Kwa mayatima amekuwa baba
Walioshushwa amewainua
Sisi wengine tulidharauliwa
Bwana yesu ametupa heshima
Bwana yesu ametuinua
Kwa ajili yake leo ninaimba
Kwa ajili yake leo ninasema
Hata nyinyi mnanisikia
Kwa ajili yake ninaabudu
Kwa ajili yake ninamwinua
Ahsante yesu (haleluya)
Ahsante yesu (asante)
Ahsante yesu
Ahsante yesu (asante baba)
Ahsante yesu (asante baba)
Ahsante yesu (ninashukuru)
Ahsante yesu (kwa matendo yako)
Ahsante yesu (asante haleluyah)
THREE
Kwa ajili yake mumetwita wajinga
Kwa ajili yake mumetwita washenzi
Kwa ajili yake mumetwita kafiri
Lakini sisi hatutachoka
Pamoja naye tunasonga mbele
Pamoja naye tunaenda mbele
Pamoja naye tumejengwa sana
Juu ya msinigi iliyo bora
Hakuna kitu kitatutikisa
Tumeamua kumfwata Yesu
Mpaka mwisho wa maisha yetu
Repeat with desired ad lib

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists