Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza - Ebenezer lyrics

Artist: Angela Chibalonza

album: Nimekutana Na Yesu


Umbali tumetoka na Mahali
Tumefika ndo maana
Natambua kwamba wewe n ebenneza
Sio kwa uwezo Wangu ila n kwa uwezo wako
Mahali nimefika baba acha nikushukuru
Ebwana umenisaidia nifike mahali nimefika
Bwana wewe ni ebeneza
Maishani mwangu
Ninataka ebeneza
Nijenge juu yako
Ninataka ebeneza uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni
Nakutamani sana
Jiwe langu la thamani
Nakuhitaji sana
Oooh ebeneza jiwe langu
Mimi nataka maisha yangu
Yajengwe juu yako
Ninataka ndoa yangu
Ijengwe juu yako baba
Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe
Hazivunjiki kamwe
Nyumba zilizojengwa juu yako yahwe
Hazivunjiki kamwe
Ninataka uimbaji wangu baba
Ujengwe juu yako
Maana wewe ni sauti yangu
Wewe ni uzima wangu
Mi nataka ebeneza
Nijengwe juu yako
Mi nataka ebeneza uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni
Nakutamani sana
Jiwe langu la thamani
Nakuhitaji sana
Ooh ebeneza jiwe langu (Ebeneza)
Ebeneza nanga
Libanga nanga ya talo
Oleki diamant olo papa eh
Kati na bomoi nanga
Zambe nakumisi yo
Mokote akokani na yo
Bisika nakomi lelo yahweh
Ezali nse na makasi na yo
Mi nataka ebeneza
Nijengwe juu yako
Mi nataka ebeneza
Uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni
Nakutamani sana
Jiwe langu la thamani
Nakuhitaji sana
Mi nataka ebeneza
Nijengwe juu yako
Ninataka ebeneza
Uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni
Nakutamani sana
Jiwe langu la thamani
Nakuhitaji sana
Ebeneza ni jiwe langu
Jiwe langu la msingi
Mahali nimefika leo
Ni kwaajili yako ebeneza
Mawe mengi yako hapa chini ya jua
Kuna dhahabu, kuna almasi
Kuna mawe hata sijui majina yake
Lakini hakutakua na jiwe kama ebeneza

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists