Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza - Tabibu lyrics

Artist: Angela Chibalonza

album: Nimekutana Na Yesu


Ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu, na neema za daima ni dawa yake njema,
Hatufai kuwa hai, wala hatutumai
Ila yeye kweli ndiye atupumzishae
Imbeni malaika sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka, jina lake Yesu.
Dhambi pia na hatia ametuchukulia
Twenendeni na amani, hata kwake mbinguni.
Uliona damu jina la Yesu kristo bwana, yu na sifa kwenye kufa asiishidwe na kufa.
Imbeni malaika, sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka jina lake Yesu
Kila mume asimame, sifa zake zivume, wanawake na wasiiche kusifu jina lake.
Imbeni...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists