Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza - Wewe Nimwema lyrics

Artist: Angela Chibalonza

album: Nimekutana Na Yesu


Nikikumbuka upendo wako kwangu
Naishi kama ningekuwa na mabawa
Niruke mahali ulipo eh Bwana
Nipige magoti mbele zako niabudu
Wewe ni mungu unanipenda jinsi nilivyo
Diyo maana ninakwimbia Bwana wangu
Wee ni mwema kwangu
X4

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists