Haleluya Uliniumba nikuabudu bwana Uliniumba nikuabudu (Uliniumba nikuabudu) Kwa ajili yako mimi naishi (oh Uliniumba nikuabudu) Pasipo wewe singekuwepo (oh Uliniumba nikuabudu) Mimi ni kazi ya mikono yako (oh Uliniumba nikuabudu) Baba ninaona nikuabudu Maana matendo yako ni mengi sana Ishara zako Baba ni nyingi mno Maana wewe ndiye Mungu wangu Uliniumba niseme matendo yako Wewe ndiye Mungu, wa miungu eh haleluya baba Wewe kimbilio letu na ngome yetu Hakuna aliye kama wewe Uliniumba nikuabudu baba (Uliniumba nikuabudu oh) Pasipo wewe singekuwepo (Uliniumba nikuabudu oh) Kama si wewe singeliishi (Uliniumba nikuabudu oh) Kwa ajili yako mimi naimba (Uliniumba nikuabudu oh) Maneno ya kusema yananikosa Maana matendo yako ni ya ajabu Maana ishara zako ni nyingi mno Kwa macho nimeona makuu yako Masikio nimesikia matendo yako Ndio maana nimetambua Ya kwamba niliumbwa nikuabudu Mungu wa milele haleluya oh Uliniumba nikuabudu baba (Uliniumba nikuabudu) Kwa ajili yako mimi naishi oh(Uliniumba nikuabudu) Umenipa sauti nikuimbie baba (Uliniumba nikuabudu) Hata watu wote wanajua yeah (Uliniumba nikuabudu) (Uliniumba nikuabudu) Ninasema uliniumba (oh Uliniumba nikuabudu) Wewe ni nuru ya maisha yangu baba(oh Uliniumba nikuabudu) Wewe ni mwamba wa imani yangu baba (oh Uliniumba nikuabudu) Haleluyah yesu Mataifa yote ya dunia njoo tumuimbie bwana Maana fadhili zake ni za milele Daudi anasema hata wakati moyo wangu unakuwa na uoga Ni kwako mungu ninajileta Maana hakuna aliyekutumainia akapata haya Haleluya, yesu ni mfalme (Uliniumba nikuabudu) Uliniumba nikuabudu (oh Uliniumba nikuabudu) Mataifa yote munisikie haleluyah (oh Uliniumba nikuabudu) Pasipo yesu mimi singelikuwepo (oh Uliniumba nikuabudu) Kama si yesu singeliishi oh (Uliniumba nikuabudu) Wewe ni mwamba wa maisha yangu oh (oh Uliniumba nikuabudu) Umeokoa wazazi wangu baba (oh Uliniumba nikuabudu) Umeokoa taifa lako yea(oh Uliniumba nikuabudu)