Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Uliumba lakini haukumbwa, Jina lako jemedari, ninakuinua Jina lako mkombozi, ninakupenda Umefuta jina langu kwenye hukumu Umefuta jina langu kwenye laana Ndio maana ninakuina Mungu wangu ee Kwa sababu siko tena chini ya dhambi ee Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Kama si wewe Yesu ningeitwa nani? Kama si wewe Yesu Ningekuwa wapi? Kama si wewe Yesu ningeenda wapi? Kama si wewe Baba ningesema nini? Asante Bwana Yesu kwa ukombozi Asante Bwana Yesu Kwa wokovu Ndio maana nakuinua Mungu wangu Umeniokoa mimi kwa damu ya bei Umenitendea mambo ya ajabu Ninakuinua Baba yahweh Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Majina yote mazuri ni yako baba Unaitwa Jehova shammah, ninakupenda Unaitwa Jehova Jehova Jireh, ninakupenda Unaitwa Jehova Nissi bendera ya ushindi wangu Asante Baba yangu kwa upendo wako Hakuna Mwingine kama wewe Hakuna Mwingine kama wewe Ninakupenda Baba yangu Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh Yahwe Uhimidiwe, Uaminifu wako umejulikana Kwa mataifa yote ya ulimwengu, Yahweh