Kaa nami ni usuku sana Usiniache gichani bwana Msahanda wako ha ukomi Nili peke yangu kaa nami Ooh ooh Siku chetu hasi kawi Kwisha Sioni cha kunifurahisha Usiye na mwisho kaa nami Oohh kaa nami yesu Haya ya moyo wangu Nikae na wewe milele Nikule na wewe Ohh hallelujah Jesus Nina haja nawe kila SAA Sina mwingine wakunifaa Mimi Nita ongozwa na nami Ila we we Bwana kaa nami Ohh hallelujah nakuitaji Bwana Sihisi neno uwapo karibu Nipatapo lolote si taabu Kipo na kaburi hasihumi Nitashinda kwako Bwana Kaa nami Ihii hallelujah kaa nami Jesus Nakuitaji Bwana Yesu Yesu ana hundumia masha yako Anainua nyumba yako Fungua tu moyo wako poke mbaraka za Bwana Yuko tajari kukaa na wewe Kama utafungua moyo wako Aishi pamoja na we we Asante Bwana wangu Ni lalapo nikuone wewe Gizani mote nimulikie Nuru za mbinguni hazikomi Siku zangu zote kaa nami Ohh rabasakabushak yes Lord Twakuitaji hallelujah kaapamoja nami mfalme Haja za moyo wangu sijulikane Nawe kaa na moyo wangu bwana Kaa na taifa la Kenya Kaa na wakristo Kaa na mtumishi wako Bwana Fungua walio fungwa Inua mioyo iliyo shushwa Bwana Kila mahali ulipo hallelujah