Nitabibu wa karibu Tabibu wa ajabu Na nehema na daima Ni dawa yake njema Hatufai kuwa hai Wala hatatumai ila yeye kweli ndiye Atupumzishaye Imbeni malaika sifa Za Yesu Bwana Pweke limetukuka Jina lake Yesu Dhambi pia na hatia ametuchukulia Twenendeni na amani Hata kwake mbinguni Uliona tamu jina la Yesu Kristo Bwana Yuna sifa mwenye kufa hasishindwe na kufa Imbeni malaika sifa Za Yesu Bwana Pweke limetukuka (limetukuka) Jina lake Yesu Kila mume asimame Sifa zake zivume Wanawake na washike Kusifu jina lake Imbeni malaika (sifa) sifa Za Yesu Bwana (ooh pweke) Pweke limetukuka (limetukuka) Jina lake Yesu