Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza Muliri - Asante Yesu lyrics

Artist: Angela Chibalonza Muliri

album: Nimekutana Na Yesu


Umbali tumetoka
Na mahali tumefika
Ndio maana ninatambua
Kwamba wewe ni Ebenezer
Sio kwa uwezo wangu
Ila ni kwa uwezo wako
Mahali nimefika baba
Acha nikushukuru
Eh bwana umenisaidia
Nifike mahali nimefika
Bwana wewe ni ebenezer
Maishani mwangu ooh
Mi nataka ebenezer
Nijengwe juu yako
Mi nataka ebenezer
Uwe msingi wangu
Jiwe langu la pemebeni
Nakutamani sana
Jiwe langu la thamani
Nakuhitaji sana
Ooh ebenezer
Jiwe langu
Mi nataka maisha yangu
Yajengwe juu yako
Mi nataka ndoa yangu
Ijengwe juu yako baba
Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe
Hazivunjiki kamwe
Nyumba zilizojengwa juu yako yahwe
Mi nataka uimbaji yangu baba
Ujengwe juu yako
Maana wewe ni sauti yangu
Wewe ni uzima wangu
Mi nataka ebenezer nijenge juu yako
Mi nataka ebenezer uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni
Nakutamani sana
Jiwe langu la thamani
Nakuhitaji sana
Ooh ebenezer
Jiwe langu
Ebenezer nang'aa
Libanga nangai ya telo
Olekitya mapewolo papaa eeh
Kati na bomo inang'a
Zambe, nakumisi oh
Mukote akokani na yooh
Bisika na komilelo yahwe
Ezali sena makasi na yooh
Mi nataka ebenezer
Nijenege juu yako
Mi nataka ebenezer
Uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni nakutamani sana
Jiwe langu la thamani nakuhitaji sana
Mi nataka ebenezer nijenge juu yako
Mi nataka ebenezer uwe msingi wangu
Jiwe langu la pembeni nakutamani sana
Jiwe langu la thamani nakuhitaji sana
Ebenezer ni jiwe langu
Jiwe langu la msingi
Mahali nimefika leo, ni kwa ajili yako ebenezer
Mawe mengi yako hapa chini ya jua
Kuna dhahabu, kuna almasi
Kuna mawe hata sijui majina yake
Lakini hakutawahi kuwa jiwe
Kama Ebenezer
End

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists