Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza Muliri - Ninatamani lyrics

Artist: Angela Chibalonza Muliri

album: Jina La Yesu


Ninatamana nifanye mapenzi yake ili nifiki mbinguni kwa baba yangu
Ninatamani niishi karibu naye ili ninywe maji ya uzima wa milele
Yesu akasema mimi nimi njia ya uzima akuna awezae kufika kwa baba yangu bila kwangu mimi miminimi njia ya uzima
Yesu akasema mimi nimi njia ya uzima akuna awezae kufika kwa baba yangu bila kwangu mimi miminimi njia ya uzima
Baba natamani nikuone2
Yesu natamani nikuone
Masia natamani nikuone
Maishani mwangu natamani nikuone
Baba natamani nikuone
Ninatamani niombe bila kukoma ili nifike mbinguni kwa baba yangu
Ninatamani niyashinde majaribu
Nivikwe taji, taji ya uzima wa milele
Yesu akasema miminimkate wa uzima atakaye nila ataona kamwe njaa bali atakaa karibu nami milele2
Baba natamani nikuone2
Masia natamani nikuone
Maishani mwangu natamani nikuone
Kazini mwangu natamani nikuone
Yesu natamani nikuone
Baba natamani nikuone.

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists