Kishore Kumar Hits

Bahati Bukuku - Nani Nabii lyrics

Artist: Bahati Bukuku

album: Nani Aitikise Dunia


Kifo chake Yesu kilitabiriwa
Kuzaliwa na kifo chake vilitabiriwa
Kifo chake Yesu kilitabiriwa
Kuzaliwa na kifo chake vilitabiriwa
Kabla ya kusikiwa kwake Mkombozi, eh
Kabla ya kusikiwa kwake Masihi Yesu
Nabii Isaya alishatabiri, oh
Kwamba atazaliwa mwana mwanamume
Nabii Isaya alishatabiri, oh
Kwamba atazaliwa mwana mwanamume
Jina lake, oh, ataitwa ni Yesu, oh
Jina lake, oh, ataitwa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists