Kishore Kumar Hits

Fanuel Sedekia - Njoo Roho Mtakatifu lyrics

Artist: Fanuel Sedekia

album: Njoo Roho Mtakatifu


Njoo Roho Mtakatifu utujaze
Kama siku ya Pentekosti tujaze
Njoo Roho Mtakatifu utujaze
Kama siku ya Pentekosti tujaze
Wewe Una nguvu, una uweza
Tuvike nguvu, tuvike uweza
Wewe Una nguvu, una uweza
Tuvike nguvu, tuvike uweza
(Ututembelee, utuguse tena)
(Tuna kiu Sana, ya uamsho)
(Ututembelee), ututembelee (utuguse tena)
(Tuna kiu Sana, ya uamsho)
Uamsho unakuja, ni wakati wa mavuno
Uamsho unakuja, ni wakati wa mavuno
Bwana wa mavuno, anatenda kazi
Bwana wa mavuno, anatenda kazi
Uamsho unakuja, ni wakati wa mavuno
Uamsho unakuja, ni wakati wa mavuno
Bwana wa mavuno, anatenda kazi
Bwana wa mavuno, anatenda kazi
Tuko tayari, kwa uamsho ooh
Tuko tayari, kwa uamsho ooh
(Ututembelee)
(Utuguse tena)
Tuna kiu
(Tuna kiu sana, ya uamsho oh)
Ututembelee
(Ututembelee)
(Utuguse tena)
Tuguse tena
(Tuna kiu sana) kiu, kiu, kiu, kiu
(Ya uamsho oh)
Solo Guitar, twende
Ututembelee
(Ututembelee)
Tuguse tena
(Utuguse tena)
Ooh, tuna kiu (tuna kiu sana)
Kiu (ya uamsho, oh)
Ututembelee
(Ututembelee)
Eeh, tuguse tena
(Utuguse tena)
Tuna kiu (tuna kiu sana)
Kiu, kiu
(Ya uamsho, oh)
Ututembelee
(Ututembelee)
Eeh, tuguse tena
(Utuguse tena)
(Tuna kiu sana)
(Ya uamsho, oh)
(Ututembelee)
(Utuguse tena)
(Tuna kiu sana)
(Ya uamsho, oh)

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists