Umeweka wimbo Kinywani mwangu Bwana niiiimbe Sifa zaaako Umeniumba Ilinikuabudu Nakwabudu Nakwabudu Wewe uketie juu Ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wewe uketie juu ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wewe ni niko ambae Ni niko Milele ilopita Na Milele ijayo Sioni cha kunishibisha Moyo wangu Badala ya kumwabudu Mtakatifuuu Wewe uketie juu Ya Vyote Sifa hizi Zifike Kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Weweiyeiye Wewe uketie juu ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wwwwiye Wewe uketie juu ya vyote Sifa hizi Zifike Kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Pekee yako wastahili Wastahili wastahili Haleluya hoo Wimbo huu ukawe manukato Manukato manukato Kama sadaka ya habeli Manukato Kama zaburi ya daudi Manukato Kama sadaka ya habeli Manukato Kama zaburi ya daudi Manukato Manukato Manukato Manukato Manukato Manukato Manukato Manukato Haleluya Haleluya Manukato Haha Nakupenda bwana Wimbo ukawe Manukato Haleluya By Clinton Gosbert End