Tumekuja! Tumekuja nyumbani mwako kulitukuza jina lako na kukwabudu ×2 Tumekuja nyumbani mwako na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Tukasahau nafsi zetu Tukakuwaze wewe tu na kukwabudu ×2 Tukasahau nafsi zetu tukakuwaze wewe tu na kukwabudu wewe kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Wewe ni mtakatifu wangu ninasimama mbele zako na kukwabudu ×2 Wewe ni mtakatifu wangu nasimama mbele zako na kukwabudu wewe, kukwabudu maana ndiwe kristo bwana Maana ndiwe kristo bwana ×2 Kristo bwana! ×5