Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)

Mwenye nguvu kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Mwenye enzi kama wewe Bwana (nani kama wewe)

Tunajua hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)

Atupendaye kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Anayetujali kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Mwenye enzi kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Ni nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Mtakatifu kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Ooh nani kama wewe Bwana (nani kama wewe)
Tunajua hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Tunajua hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Tanzania hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Duniani hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) hakuna (kama wewe Bwana)
Tunajua hakuna (hakuna mwingine) uh uuh (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) Halelluya (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine) hah ah (kama wewe Bwana)
Ooh hakuna (hakuna mwingine kama wewe Bwana)
Tunajua hakuna (hakuna mwingine) Halelluya (kama wewe Bwana)
Uuh hakuna (hakuna mwingine kama wewe Bwana)
Hakuna mwingine, Halelluya Halelluya Halelluya
Hakuna mwingine kama wewe Bwana Halelluya
Поcмотреть все песни артиста
Other albums by the artist