Kishore Kumar Hits

Fanuel Sedekia - Mbele Ninaendelea lyrics

Artist: Fanuel Sedekia

album: Yupo Mfariji

Mbele ninaendelea ninaZidi kutembea maombi uyasikie eeeh bwana uu nipandishe.
Eeeeeh bwana uuuuhhh niinue kwa Imani nisimame nipande mliman yote!! Eeeeeh bwana nipandishe...
Sina nina Tama nikae Mahali pa shaka kamwe hapo Wengi wanakaa huendelea Naomba...
Eeeeeh bwana uuuuhhh niinue kwa Imani nisimame nipande mliman yote!! Eeeeeh bwana nipandishe...
Nisikae duniani ni Mahali pa shetani natazamia mbinguni nitafika kwa Imani
Eeeeeh bwana uuuuhhh niinue kwa Imani nisimame nipande mliman yote!! Eeeeeh bwana nipandishe...

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists