Kishore Kumar Hits

Them Mushrooms - Jambo Bwana lyrics

Artist: Them Mushrooms

album: Jambo Bwana


Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.
Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.
Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.
Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata.
Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.
Hakuna Matata,
Hakuna Matata

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists