Kishore Kumar Hits

Amani - Bad Boy lyrics

Artist: Amani

album: Tamani


Njaro zako, tayari nimekanywa
Penzi lako, naambiwa ni balaa
Nami bado, siwezi kukuwacha
Nifanyeje, na roho ishapenda
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby, you are such a bad boy
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby, you are such a bad boy
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia (hahaha)
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia
Si makosa yangu
I am falling for the bad boy
Sura yako, nabaki fikirani
Busu lako, siwezi kuilenga
Na mi bado, siuoni ubaya wako
Nifanyeje, na roho ishapenda
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby, you are such a bad boy
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby, you are such a bad boy
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia (hahaha)
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia
Si makosa yangu
I am falling for the bad boy
(Wooo, Wooo)
(Haha)
(Sio makosa yako)
(Okay, yeah)
First of all ni obvious
Nyashinski juu ya mic unajua vocals ni oh so glorious
Na ni popular (yeah)
Lakini juu ya meza kuna issue moja biggy ka notorious
Dame mzuri amenoki chali ni jangili
Lakini chali haezi kubali juu ya nini
Ohh...
Akikubali watasema amekuwa soft
Ka sponge
Haiezekani
So ana-do nini
Anafikiria kwanza
Situation tricky nani
Mtaani nina respect fiti mami
Nikikubali wataniuliza vipi wadhii
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby, you are such a bad boy
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby, you are such a bad boy
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia (hahaha)
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia
Si makosa yangu
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia (hahaha)
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia
Si makosa yangu
I am falling for the bad boy

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists