Kishore Kumar Hits

Soul Influence - Bwana Ni Mchungaji Wangu (the Lord Is My Shepherd) lyrics

Artist: Soul Influence

album: Gigo!


Bwana Ni Mchungaji wangu Sitapungukiwa Kitu, Hulaza kwenye majani mabichi Hunongoza Kwa maji Matulivu
Hunihuisha nafsi yangu Huniongoza kwa njia Za Haki Nipitapo bondeni mwa mauti Sitaogopa wewe u nami
Hakika wema nazo fadhili Zita nifuata mimi Nitakaa Nyumbani mwa bwana Siku zote za maisaha yangu
Gongo lako na Fimbo yako Vinanifariji mimi Huandaa meza mbele yangu Machoni mwa watesi wangu
Hakika wema Nazo fadhili zitanifuata Mimi
Nitakaa nyumbani mwa Bwana siku zote
Za maisha yangu

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists