Basi nifungue roho Kwa yule wa before Dear Ex... Sitaki kurudia zamani Nilikupenda sana Ila haukuniona wa dhamani Haukuniona wa dhamani Sitaki kubonga mob Nikurushie lawama Ila roho yangu unaijua Nilikupenda sana Nilipokosa nisamehe Ulipokosa nikusamehe Na maisha yaendelee eeh Nilipokosa nisamehe Ulipokosa nikusamehe Na maisha yaendelee eeh Rafiki zangu wanaulizia, wanaulizia Ndugu zangu wanaulizia, yule wa zamani Haya mama anaulizia, anaulizia Majirani wanaulizia, yule wa zamani Nimemiss sauti yako ndani ya nyumba Nimemiss nikisanif shash na we unafunga Nimemiss tukioga pamoja Nimemiss ukipika mi naonja Nimemiss familia nimemiss manzi yangu Ulikuwa beste yangu, advice za mabeste ndo uliskia Walikuchocha ukavunja familia but I hope Mahali uko unafurahia Pole bado napenda mtoto wako Ukiwa na shida usiogope kusema Maisha yako mi nakutakia mema Mad yeah Kansoul anaulizia, anauliza Mama Hadija anaulizia, yule wa zamani Willy Tuva anaulizia, anauliza Governor Joho anaulizia, yule wa zamani You never took your time to know me, time to know me You never took your time to understand You never took your time to know me, time to know me But loving you is all I had Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea Natamani siku zile, hisia zangu zinanikosea Hata nikuone, ukiwa naye mi nawaombea Maina Kageni anaulizia, anaulizia Emali Havi anaulizia, yule wa zamani Mwakideu anaulizia, anaulizia Ata Otile anaulizia, yule wa zamani Ommy huruma anaulizia Mtua anaulizia Mama Cider anaulizia Yule wa zamani Kiuna anaulizia Mwende Clemmo anaulizia Kwtu Mathare anaulizia Yule wa zamani Mama mejja anaulizia, anaulizia Kama wa Pango anaulizia Pengting wa zamani