Kishore Kumar Hits

Nadia Mukami - Maombi lyrics

Artist: Nadia Mukami

album: Maombi


Nadia, Hoya Hoya Hoya
Hoya Hoya Hoya
Hoya Hoya Hoya
Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha
Nikitoa shukurani hadharani wakasema najigamba
Hao binadamu walinipa wiki
Sasa imepita miaka bado wanasubiri
Kazi ya mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa
Sio juju ni maombi, Ni maombi
Si kelele ni maombi, Ni maombi
Sio juju ni maombi, Ni maombi
Si kelele ni maombi, Ni maombi
Hoya Hoya Hoya
Hoya Hoya Hoya
Hoya Hoya Hoya
Maombi Lyrics Nadia Mukami 2
Na mikono nitainua magoti nipige
Nimweleze jinsi alivyotenda katika maisha yangu
Kazi ya mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa
Kazi ya mungu kweli haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa
Sio juju ni maombi, Ni maombi
Si kelele ni maombi, Ni maombi
Sio juju ni maombi, Ni maombi
Si kelele ni maombi, Ni maombi
Maombi Lyrics Nadia Mukami 3
Maneno ya wanadamu
Yalinilenga kama mishale
Ila mungu hawezi kubali uanguke
Alichoanzisha leo lazima atakamilisha wee
Kazi ya mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa
Kazi ya mungu kweli haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa
Sio juju ni maombi, Ni maombi
Si kelele ni maombi, Ni maombi
Sio juju ni maombi, Ni maombi
Si kelele ni maombi, Ni maombi
Si uchawi, Ni maombi
Ooh si ulevi, Ni maombi
Si kwa nguvu zangu mie, Ni maombi
Si ka nadia hata hatambii, Ni maombi
Oooh ni maombi, Ni maombi
Si kwa nguvu zangu, ni maombi
Kazi ya mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa
Kazi ya mungu kweli haina makosa
Ingekuwa binadamu wanatoa ningekosa

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists