Kishore Kumar Hits

Ethan Muziki - Giza lyrics

Artist: Ethan Muziki

album: Giza


He
Madem
Acha tu
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Woi woi woi woi no
Story time, Ethan Muziki time
Nikiwa rima nilipatana na msichana malaika
Mrembo tukiwa pale umoja
Tukitoka shule mikono pamoja
My first crush we lost touch
High school nikapelekwa ocha
Lakini bado niliwachocha nikawachota
Kuingia campo
Nikasema nitasoma nitashindaga daro
Asubuhi walevi kwenye mtaro
Anasa na hizo pesa za karo
Na bado nakimbizana na caro
Silver tongue nilipatiwanga
Lugha lazima angeitana
Bingo nimeshapata mama
Ako singo lakini condition
Anataka attention anataka vacation
Me niko na noti ya leo mbaka kesho
Attention tena vacation
Hawezi kuwa naughty bila compensation
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Akina dada
Giza
Nilikosea
Nika tarmac tarmac after campo
Tafuta job acha story za warembo
Oh no it was never easy
Hauwezi sample wote umalize
I met so many ladies
Tukakunywa pesa za deni
Kama hausafishi nyumba
Chunga usiite wageni
Siku nyingi zikapita sana
Kabla penzi ikabisha tena
Huyo dem alinionyesha mambo
Maisha hainanga praco
Dem wako ni wako akiwa kwako
Akitoka anakuzungushaga circle
Sako kwa bako ako na mwenzako
Wanacheza tapo
Juu anataka attention anataka vacation
Me niko na noti ya leo mbaka kesho
Attention tena vacation
Hawezi kuwa naughty bila compensation
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Akina dada
Giza
Nilikosea
Labda wanalipiza
Simu siku hizi ndio adui
Chunga usichizi vitu hujui
Ndio maana siku hizi mi sikagui
Nilishafundishwa
Utazungushwa sana
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza
Kweli akina dada wamenionyesha giza
Ama nilikosea labda wanalipiza

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists