Kishore Kumar Hits

Kinoti - Rudi lyrics

Artist: Kinoti

album: Heart to Hurt


I'm writing a letter
To my long lost love
Cuz it's been forever
Since I felt your touch
Wajua nakupenda
Lakini siku zinaenda
I need you back (oh cuz I need you, I need you back)
I'm trying not to think about you
But my heart only beats for you
I need you back
I can't deny, no
That I miss you baby
I can't deny, no
That
Kukumisi imenifunza adabu
Bila wewe mimi sio binadamu
Ninajua niliteleza
Nakubembeleza ukiweza
Rudi home, ooooh
Mpenzi rudi home
Oh, rudi home, home
Mpenzi rudi home
Nakumbuka uchungu niliohisi ulipotoka
I remember maumivu niliyohisi
Uliposema umechoka yeah
Je, ni maua sikuleta ya kutosha
Ama sikuwapiga walipokuchokoza
Ama siku yako ya kuzaliwa sikukuja kukuosha
Je, ni maua sikuleta ya kutosha
Ama sikuwapiga walipokuchokoza
Nieleze niambie ili fikra zangu zitulie
I can't deny, no
That I miss you baby
I can't deny, no
That
Kukumisi imenifunza adabu
Bila wewe mimi sio binadamu
Ninajua niliteleza
Nakubembeleza ukiweza
Rudi home, ooooh
Mpenzi rudi home
Oh, rudi home, home
Mpenzi rudi home
Oh, rudi home
Rudi home

Поcмотреть все песни артиста

Other albums by the artist

Similar artists